SN Pay inakupa njia rahisi na ya uhakika ya kulipa bili mbalimbali, kununua muda wa maongezi na kufanya malipo ya serikali kwa kutumia WhatsApp.
Tuanze...
Fungua WhatsAppNINI KINGINE UNAPATA KWETU
SULUHU YA KUPOKEA
MALIPO YA MBALI
Njia Salama, Rahisi na ya Haraka Kupokea Malipo ya
Bidhaa & Huduma
Pokea malipo ya bidhaa au huduma unayotoa kirahisi, kwa haraka na salama kutoka mitandao yote ya simu.
Wasiliana NasiMalipo na
API
Tunaweza kukuwekea mfumo wa malipo kwenye tovuti, whatsapp au telegram yako na wateja wako watakulipa na kupata huduma hatakama umelala.
Malipo ya
Ankara
Kupitia applikesheni yetu unaweza kupokea malipo ya huduma au bidhaa zako kwa kumtumia mteja ankara ya malipo na atakulipa kwa kutumia mtandao wake wowote ule anaotumia.
MANUFAA YETU
SABABU ZA KUTUCHAGUA
Gharama
Nafuu
Ada zetu ziko chini sana ukilinganisha na ada anazokatwa mteja atakapo kulipa kawaida kwa mitandao ya simu.
Utunzaji
Kumbukumbu
Mfumo wetu wa malipo utakuwezesha kufuatilia na kuchakata rekodi ya mapato yako kisasa.
Haraka
Sana
Pokea malipo kutoka kona moja ya dunia hadi nyingine kwa sekunde chache. Kwetu kufanya malipo ni rahisi sana na haraka.
Salama
Sana
Usalama wa taarifa za wateja ndio kipaumbele cha kwanza kwetu. Fanya miamala yako ukiwa na uhakika wa usalama.